Jan 20, 2010

Kwetu kila kukicha tunacheza na mitandao kutaka kujua lipi jipya upande wetu huu ili tupate kwenda sawa na ya duniani,kila leo frequency zinabadilika na satellite kuhama hivyo ili wateja wetu waweze kupata ambacho wanakihitaji up to date,tunawatumikia sana kuliko wadhaniavyo...!!
Leo nipo maeneo fulani hivi wanapaita mbezi salasala,nili7babisha watu waone Local,Asia na Gospel channels...    Dish ilikuwa kitu new na hizi ni baadhi ya ambazo nilibahatika kuzipata alau:-

9:35 AM   Posted by Mustapha Hanya with 1 comment

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kaka mkuu eti inawezekana kupata local kwa Dish ndogo na napata channel ngani?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search