Oct 10, 2010

LOCAL CHANNELS

FULL INSTALLATIONS
 In Hotel.Apartment.Office.Home
Materials:
              1.Receiver
              2.Satellite Dish Antenna c band
              3.Cable
              4.LNB c band
              5.F connectors.
+ Installations
= 6 Total Local Channels.
As: TBC1,ITV,CAPITAL,EATV,CHANNEL 10,STAR TV.
Pia unapata MOZAMBIQUE (Channels 3)

Satellite Dish Antenna for Local Channels.
REPAIRING:
            * Bad signal
            * Move from 1 place to another
            * More Channels through Local S.D.Antenna.

MATERIALS:


Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Channel 10 mara inakuja mara inapotea hivi tatizo ni nini na kama star tv siipati kitambo kidogo,utanisaidiaje au mpaka nikutafute kaka.