Oct 10, 2010

Easy TV

Kwa Tsh 200,000/=
Unapata na miezi mitatu bure!!
Inajumuisha Decoder,Antenna,Cable na Installations!
Kwa mwezi unalipia 9000/= unapata jumla ya Channels zote!
EASY TV ina jumla ya channels 32 ila zinazoonyesha ni 30 tu.
Movie 1
Movie 2
Movie3
Movie Arabic
Aljazeerah
CNN
BBC
CCTV4
UBC
Citizen
TBC 1
Star TV
Channel 10
Capital
EATV
TVZ
ITV
Clouds TV
EWTN/TV Tumaini
Mliman TV
Emmanuel TV
Peace TV
Channel V
Xing kong
Ph'x China
JSC document
JSC sport
MTV
Child
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

3 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Ni kwanini mnakuwa na strock ndogo wakati mna wateja wengi!?
Hiyo mwezi wa nane itakuwa tarehe ngapi ili nipate hiyo easy TV kiukweli nimechoshwa na hawa star times

Solomon said...

mbona star tv siipati

Solomon said...

mbona star tv siipati