Nov 1, 2010

EAST TV TANZANIA

 Easy TV Tanzania ni kampuni ambayo si ngeni sana Tanzania ila kiukweli nimegundua watu wengi hawaifahamu kutokana na ukweli kwamba hawajajitangaza kikamilifu huku wengine wakidhani kama hawako serious na kazi,ila ukweli ni kwamba hawa jamaa wapo serious na wanaendelea kufanya vizuri maana wana miaka kadhaa Tanzania wakiendelea kutoa huduma.
Zaidi kwa mahitaji ya channel za Tanzania ambazo zilizopo kwenye satellite na zile zilizopo kwenye transmeter unazipata,hii inamaana ni zote kama zitakosekana na 2 ama 1,kiasi kwamba mpaka TVZ unaipata na CLOUDS TV.
Ukiachilia hizo pia kuna za mataifa mengine ya Africa,Movie,Michezo,Documetary,Music,News na nyenginezo.
Hii ni moja kati ya Easy TV nilizowahi kuinstall,ni maeneo ya sinza A pale kwa jamaa mmoja wakujiita Kisanga.
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

7 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Hawa jamaa hawana lolote,wamebadilisha DUBAI ONE na kuweka channell zisizo na mpango then kibaya zaidi installation zao zinaleta channell chache kwa maeneo ya temeke,watu kinondoni,magomeni wanapata channell nyingi how come....wana boared

Anselm said...

Mimi nawapiga chini air time yangu ya mwezi huu ikiisha,wametuondolea Channel za Mengi na toka juzi TBC,Channel 10 na StarTv hazionekani,pumbavu zao kabisa.

Anonymous said...

Kuna nyingine unakuta labda wanaiba, sasa wakibambwa ndio hivyo zinatoka. Base station yao iko mwenge, naona maeneo ya mbali itakuwa shida. nimechukia wametoa Viasat ya Ghana with lots of Good series.

Anonymous said...

Hata hivyo wana wakala wengi mpaka tunashindwa kuelewa makao makuu yao yapo wapi?

Anonymous said...

kiasi gani kwa hivi sasa for new connection

mercy said...

I regret ever buying this decoder. Leo channel ipo kesho hamna, such a waste of money

Edward charles said...

kwani hawa jamaa wana stesheni ngapi za local za hapa tanzania???