Nov 2, 2010

Siku zote napenda kuona naongeza idadi ya wateja,hii inategemea na huduma nitoazo kwa wateja zetu ambao ndo wanakuwa wajumbe wazuri kwa kuwashawishi wengine kuja kwetu.
Kuna wateja ambao ukiwapa bei ya kifaa Original hafikirii x2 hutoa bila wasi wasi wowote kutokana na either mtu aliyemuelekeza ama imani yake kwetu na maelezo aliyoyapata awali.
Wapo ambao unawapa bei ya Original wao wanataka bei ya Fake,kitu ambacho kinatuwia vigumu kufanya biashara.
2:18 AM   Posted by Mustapha Hanya with No comments

0 Unasemaje..??:

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search