Nov 23, 2010


Ilikuwa ijumaa 2livu sana na kwa siku hii ku7babisha nilianzia hapa Giraffe hotel katika sehemu iitwayo jety 1,hapa nili install DSTV na mambo kuwaas usually...!!
Kwa wale wasiopajua hapa ni Dar maeneo ya mbezi beach Africana katika hotel iitwayo giraffe kuna ukumbi ambao upo baharini unaitwa jety 1,kiukweli pazuri na panavutia kwa ujumla na baada ya kuinstall DSTV ndo dah mvuto umezidi x dufu.....!!
Mambo yalikuwa hivi katika mapichapicha:- 
                                                          


10:20 PM   Posted by Mustapha Hanya with 7 comments

7 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Hii kazi yako kuna ulazima wa kujikatia bima vipi umefanya hivyo sababu kama hapo ulivyofunga hiyo dish si ni katikati ya bahari,mfano ingetokea bahati mbaya!!

Anonymous said...

Brother Mustapha hi!!
which day you will be free between week end i want to meet with you,i'm in East Africa Uganda!
I think so i will there next week end,pls!!

Anonymous said...

Hivi hii kwa hotel inakuwa ni mkataba ama unafanya ontime then basi!!

Anonymous said...

Jumapili pia unafanyakazi??

Anonymous said...

The Ford workstation brings your office to your vehicle, making it easier to conduct business in Houston than ever before. Ask your Houston Ford dealer about the options available. rn rnWith an in-dash computer in your Ford pickup or van, you drive around Texas without having to back track to your office in Houston to fill out a form or submit a work order. Simply logon to your computer from your Ford and check e-mails, fill out spreadsheets and log information. Your Ford dealer Houston can discuss further with you the benefits of the Ford workstation.

[url=http://motoreviewnow.info/sandberg-volvo/]Sandberg Volvo[/url]

Anonymous said...

Nimepata ujumbe wenu ahsante ntawatafuta nikiwahitaji!!

Anonymous said...

Zaidi ya huduma

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search