Nov 24, 2010

 Hapa c mahali pa geni kwa wakazi wa Dar es salaam ijapokuwa jengo hili halina muda mrefu sana toka kujengwa,hapa kuna office tofauti tofauti na ambacho kimetokea nilitakiwa ku7babisha watu waangalie TV kwani kuna fundi alikuwa ameinstall Satellite Dish,ambayo ni c band kwa ajili ya local channel ila kilichotokea picha zikawa zinakatakata sana, nilichokifanya kama kawaida yangu na kuacha wa2 wanafurahi na nyoyo zao:-


 Ambacho nimekiacha kinaendelea kuonekana ni za gospel na za Tanzania kwa kutumia single solution cable kama macho yako yanavyoangaza hapo.....!!
8:02 AM   Posted by Mustapha Hanya with 1 comment

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Nami nna fani kama yako je naweza nikapata kazi,inaelekea mwenzangu umepevuka sana naomba nafasi ya kujifunza zaidi toka kwako!
Amos wa makambako.

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search