Nov 24, 2010

Najisikia vizuri pale ninapofanya mazuri ninapokuwa viwanja vya nyumbani ama kufanya kazi na watu ambao still ndo wanaonizunguka daily.....!!
Leo wadau nimeibukia pande za kitaa,hapa nili install GTV enzi za uhai wake na baada ya kufa nikabadili na kuwa channel za free za mbc,hiyo ikawa haijitoshelezi kihivyo 7bu wadau ni wapenzi saana wa soka na ndipo leo nikaitwa ku7bisha DSTV ipatikane nami nili install kama ifuatavyo kwa macho:-

7:49 AM   Posted by Mustapha Hanya with No comments

0 Unasemaje..??:

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search