Nov 1, 2010

 
Kuna ambacho wengi hawakijui kama si kuchanganya,cable ya antenna ya kawaida na cable ya dish ni sawa kwa macho na kazi ila ni tofauti kwa quality,ambapo cable ya dish ipo high quality kutokana na mzigo unaobeba tofauti na cable ya antenna ambayo ipo low quality kwasababu kinachobeba ni cha kawaida sana.
Cable ya antenna ukiiweka kwenye dish si kwamba haitaonyesha itaonyesha ila itapoteza signal kadhaa njiani na kutokaa muda mrefu zaidi ya yote kuunguza either LNB ama kipokea ( Decoder/Receiver )
8:34 AM   Posted by Mustapha Hanya with No comments

0 Unasemaje..??:

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search