Dec 12, 2010

Swali ambalo daily nakutana nalo kwa kila ninapoinstall Dish hasa kwenye makazi ya watu....!!
Unafunga dish ndogo channel za Emanuel gospel mtu anaulizia local zinapatikana ngapi...??
Unafunga futi sita local mtu asipoiona C2C anahoji kunani...??
Hivyo ni vema ukajua unachotaka na utakachopata kabla hujahudumiwa....!!
Nimegundua ya kuwa wateja design hii ni wale ambao wameenda nyumba ya fulani kaona channel fulani nae wakati anataka huduma anataja ile channel aliyoipenda na kuiona bila hata kujua zimefungwa dish ngapi nje,na ndo maana tunaamua kutoa darasa kabla ya kumuhudumia mteja nawe kuwa huru kuuliza...!!
10:09 AM   Posted by Mustapha Hanya with 2 comments

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Exctly inakuwa channel ngapi?
na zipi na zipi?
na mbona TBC imepotea ghafla tu na kwa mama pia so that's wrong na utatusaidiaje?
Happy

Mustapha maDish said...

Kwa kutumia dish la futi sita na kuendelea na LNB ikiwa moja unapata channel zifuatazo:
ITV,CAPITAL.EATV,CHANNEL 10,STAR TV,TBC1 na za dini AGAPE na NAMIBIA pia unapata TIM,MOZAMBIQUE na ANGOLA.
Ila TBC1 inasumbua kwenye futi 6 kwa sasa,so kama unafuti 6 wala usisumbuke dada yangu ni wenyewe na mitambo yao....!!
Ahsante.

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search