Dec 21, 2010

 Je umewahi kukutana na usumbufu wa Mafundi wenye uwezo mdogo ama usumbfu wowote!!??
Je unahitaji kufunga DSTV mpya kwa bei halali bila kuongeza cha juu!!??
Je unahitaji kufunga Dish yenye channel za bure na ukaondokana na usumbufu wa kila siku kuita ita fundi!!?
 
 Fund dish akifunga Dish ya channel za bure
 
 Umeionaje hapa
 
Kwa Mafundi wa Dish Antenna aina zote na bei nafuu hapa ndipo mahala pake!!
Uzoefu usiokipimo na utapata ushauri bureee!!
Ufunge popote pale iwe Hotelini,Ofisini,Nyumbani na popote upendapo ndani ya Tanzania!!
Kuwa miongoni mwa walionufaika na huduma bora!!
0659161111
11:57 AM   Posted by Mustapha Hanya with 1 comment

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Nijuavyo mimi kwa sasa haipatikani ila ilikuwa hewani tena bureeee!!!
Au umegundua kwa njia nyengine tuhabarishe basi unatutamaniishaaa...
mwacky.

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search