Dec 25, 2010

Hapa ufundi ukiendelea
Mcheza kwao hutunzwa na ndivyo ilivyo kila siku ziendazo kwa mungu,hapa ni Magomeni mapipa yaani ni mitaa ya nyumbani wenyewe wanasema mitaa ya kujidai ni karibu na Bondeni hotel ambayo inaonekana kwa mbele kule yenye rangi nyeupe kwa wenye macho....!!
Hapa banaa ilikuwa tatizo local channel hii dish ilifungwa kitambo isipokuwa ilihama tu kidogo kwenye position yake,hivyo nikafanya nilichokifanya ikawa heee watu wanaona wabongo na wazungu wazungu,nami nikachukua vyangu nikachapa mwendo kujiandaa kula chakutoka cha x-mass....!!
5:58 AM   Posted by Mustapha Hanya with 1 comment

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Mwaka mpya huoo tutegemee lipi jipya ambalo litatupa ufunuo zaidi katika mambo zako hayo ya kuuzunguka ulimwengu ukiwa na tv yako...!!

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search