Dec 3, 2010

Hii inatokana na ukweli kwamba mshangao umekuwa mkubwa sana mtu nikimwambia mimi fundi.....!! 
hata nikimwambia habari ya kuhusu madish anadhani ya kuwa labda mimi ni sales yaani nitaongea nae then wafungaji wataenda wengine mwisho wa siku inakuwa tofauti na adhaniavyo...!!
wananikuta ni mimi nikiwa na team yangu eneo la tukio tukisababisha,nimegundua kwamba ni kutokana na muonekano wangu,umri na mengineyo ila kikubwa ni kazi.
Napenda kuwaambia mafundi wenzangu kwamba hatuna tofauti na madaktari,hivyo hatuna budi kujithamini ili wengine watuthamini na kuwa katika hali ya usafi muda wote.
4:35 AM   Posted by Mustapha Hanya with 2 comments

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Waambie wenye tabia hiyo kwamaana wanaharibu heshima ya taaluma zetu kwani kwa nchi za wenzetu fundi ni kama Daktari anathaminiwa sana nae pia anajiheshimu pamoja na kuwa smart!!

Anonymous said...

Kaka pteza sana mafundi wachafu!!

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search