Jan 10, 2011

ebwana dah....!!
Kitambo kidogo sipatikani hewani kwa no.za tz huku wengi nikiwapa shida jinsi ya kunipata na lawama zikiwa zimejaa gunia..!!
Nipo sehemu ambayo ni nadra sana kukutana na mtu mwenye ngozi kama yangu nyeusi,pia kiswahili ndicho hakisikiki kabisaaa...!!
Ila ni mbio tu i wish nitakuwa home soon banaa....!!
3:44 AM   Posted by Mustapha Hanya with 5 comments

5 Unasemaje..??:

Anonymous said...

mbona hata tukituma email haujibu chochote ama tutapataje msaada wako....??
Ni lini utakuwa huku

Anonymous said...

Inamaana tukikumiss ww hakuna ambaye ataweza kutupa msaada maana hii dish yangu imepoteza signal.
Miko.
DSM

Anonymous said...

Madish vipiiiiii.....???
Umetukimbia ama shavu nchi za watu...??
Njoo bwana ujenge nchi yako pamoja.

Anonymous said...

Wewe hivi mbona nimekutafuta sana hadi nimekata tamaa ni leo nilikuwa natafuta kitu kuhusu TV toleo jipya google wakanilietea na blog yako,umepotelea wapi please jibu email yangu nimekutumia naomba namba zako kwani ni zote hazipo hewani.
Nipe hata ambazo unatumia huko ulipo nataka maelekezo tu then nitafanya mwenyewe.

Anonymous said...

upo hai kweli ??

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search