May 28, 2011Ilikuwa Alihamisi na Ijumaa nilikuwa pale maeneo ya Bahari beach,wenyewe wanapaita njia panda ya kwenda bahari beach hotel dar es salaam,hapa kuna lodge moja ya kisasa safi sana inaitwa BAHARI LODGE..!!
Issue ilikuwa Local hazionyeshi kwa TV zote nami nilihitajika kusababisha hilo ili mmiliki na wateja waendelee kula bata kwa furaha kwa kupata walichokihitaji..!!

 Hii ni mojawapo ya room za hapa Bahari Lodge..!!
Ikawa zinapatikana Local channels zifuatazo:-
ITV
EATV
CAPITAL
TBC
TV TUMAINI
AGAPE
STAR TV
CHANNEL TEN
C2C.
Pia na DSTV kama ambavyo niliikuta,nami nikachukua kila kilicho changu na kushaa...!!


3:39 AM   Posted by Mustapha Hanya in , , , , , , with 3 comments

3 Unasemaje..??:

Anonymous said...

2

Anonymous said...

Fanya uje na huku sumbawanga kwani kuna jamaa mmoja atatulingia sana pesa tunatoa lakini huduma tunapata kwa taabu sana!!

Anonymous said...

Hii ya Hotel inakuwa unaweka channel gani na ngapi?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search