May 19, 2011

 Wa nyumba hadi nyumba jengo hadi jengo ilihali dunia tunaileta nyumbani kwako ukiwa TV yako hata kama black n white utaifurahia...!!


Hapa ni maeneo ya sinza hapa nimeacha channel za gospel zikiendelea kama kawa ila usitishike na hiyo lebo ya DSTV ni dish tu,kutokana na ukweli kwamba dish zinaingiliana..!!

9:03 AM   Posted by Mustapha Hanya with 7 comments

7 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Mimi nipo na decoder ya GTV je naifanyaje????

Anonymous said...

Mimi nina dishi langu nimehama nayo toka sumbawanga mtanicharg kiasi gani kufunga,ni ile ndogo ya dstv kwa sasa nipo mpakani next week ntakuwepo huko ni mlandizi hapo.

Anonymous said...

Channels gani napata kwenye decoder ya GTV?

Mustapha maDish said...

Channels ambazo zinapatikana kwenye decoder ya GTV ni za free zipatazo 11 zikiwemo channel za MBC..!!

Mustapha maDish said...

Mwenye dish uliyetoka nayo sumbawanga je hujasahau kitu,maana swala la mwenye kuhama wengi wenye madish wanasema kila kitu kipo matokeo yake unapofika eneo la tukio,unakuta kuna mapungufu vifaa vyengine vinakosekana baada ya kuachwa lilipofunguliwa dish...!!
Bei nipigie utakapokuwa tayari..!!

Anonymous said...

What broad daylight isn't today?

Anonymous said...

What light of day isn't today?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search