May 14, 2011

9:02 AM   Posted by Mustapha Hanya with 4 comments

4 Unasemaje..??:

Anonymous said...

DSTV wametoa decoder mpya nasikia eti ni mchina ni kweli,issue inakuja hazichelewi kubuma!!
HD unaweza ukatumia kwa TV ngapi zaidi!!!

Mustapha maDish said...

HD kama HD unatumia kwa TV moja tu na ili ukitaka kutumia TV ya pili ni lazima utumie decoder ya pili..!!
Ndio DSTV wametoa decoder nyengine bt c mchina na swala la kubuma cna hakika nalo coz wapo ambao tumewafungia mpaka leo hawajalalamika kama zimebuma...!!
Inategemea na matumizi yako..!

Anonymous said...

Hivi projector unaweza ukatumia Antenna ya kawaida ili kupata channels za local

Anonymous said...

Nasikia zile dish kubwa nyeusi lakuzunguka lenyewe unapata nchi yeyote uitakayo hivi kwa sasa hivi linafika bei gani?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search