May 3, 2011

HOTEL INSTALLATIONS INAKUWA ILIVYOKUWA...!!

Hii inaitwa Multiswitch na mara nyingi hutumika mahotelini ama kwenye Apartment au hata kwenye nyumba binafsi,ila kazi yake ni kugawa Receiver zaidi ya moja kama uonavyo hapo,hizo cable zote zimeingia kwenye receiver....!!
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

inawezekana ukatumia kwenye antena ya kawaida kugawa kwenye tv nyengine pia

Mustapha maDish said...

Haiwezekani sababu ni lazima utumie receiver,hvyo Antenna ya kawaida haitumii receiver...!!