May 1, 2011

NYUMBA INAUZWA MBEZI LUIS KWA FUNGO MIL.45
 

Muonekano kwa nje.

   Kwa uwani ndani ya uzio.                                                Kwa nje kupitia getini.                      Kwa uwani ndani ya uzio.


 Kwa uwani ndani ya uzio.

Ipo maeneo ya Mbezi luis kwa fungo,unaingia ndani kidogo toka Morogoro rd.Nyumba ni self-3 bed rooms,kitchen,toilet,store,sitting room na ina vyumba vya uwani v3,choo cha nje,pia inauwanja mkubwa wa kujenga nyumba kubwa uliozungushiwa ukuta na parking ya magari ndani ya gate.
Umeme ni LUKU.
Bei ya kuuza ni mil 45.Mazungumzo yapo hapo tutakapokutana na mnunuzi.
 Kwa maelezo zaidi piga simu no.+255659937711/+255763973797 au tuwasiliane  kwa
email: mustaphamadish@gmail.com
                      
                                                                                                                                                     

PLOT FOR SALE AT BAGAMOYO MJINI MIL.3 
Kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya Bagamoyo maeneo ya nia njema karibu na shule ya msingi nia njema.Ukubwa wa kiwanja ni robo heka.Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa no. +255659937711

                                                                                                                                                      
  
PLOT FOR SALE AT BAGAMOYO MJINI MIL.3
Kiwanja kinauzwa kipo maeneo ya Bagamoyo kidongo chekundu.Ukubwa wa kiwanja ni robo heka.Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa no.+255659937711

                                                                                                                                                       

HOUSE FOR SALE AT MAGOMENI MAPIPA MIL.250.
Nyumba inauzwa ipo maeneo ya Magomeni mapipa mtaa Idrisa ni muundo wa National housing,ina vyumba 6 ndani,vyumba vitatu vya uwani,jiko,choo na store.Kwa maelezo zaidi piga simu no.+255659937711
4:58 AM   Posted by Mustapha Hanya with 3 comments

3 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Mimi nipo mwanza je nitapataje huduma hizi unazotangaza za madishi?

Mustapha maDish said...

Tupo Bagamoyo na Dar,ila pia tunaweza kuja popote ambapo upo ndani ya Tanzania na Africa mashariki kwa ujumla,ila kwa kama mwanza inategemea unataka huduma gani...??

Anonymous said...

Nikitaka kutangaza nafanyaje!!??

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search