May 6, 2011

NIPO KWENYE RESEACH ZAIDI....!!!

 
Kila kukicha yanazaliwa mapya nami naumiza kichwa kwenda sawa katika ukanda wangu huu....!!
Mfano leo Tanzania yetu imekuwa na mfumuko wa ving'amuzi na kufanya pia ufungaji wa madish kupunua ila mwisho wa siku bado dish linskuwa dish na king'amuzi kinabaki kuwa king'amuzi....!!
Ambacho wengi hawajui hata hayo makampuni yenye kuuza vinga'amuzi wanatumia Satellite Dish kukamata hizo channel zote zinazoonekana kwenye ving'amuzi vyenu..!!!
Hii inathibitisha ya kuwa still Dish itakuwa juu na ving'amuzi kufuata..!!
Ila kwa upande wangu nipo kwenye reseach ya kutaka kujua channel zote zilizopo kwenye Satellite ulimwenguni ambazo zinapatikana Africa pia zile zinazotumika na makampuni na kufungwa na kuwa za kulipia....!!
Lengo ni kupanua uwezo wangu katika fani hii na nashukuru mungu nimepata speed ambapo nimefanikiwa kwa kiasi fulani....!!
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

5 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kuna issue ya DSTV bila malipo vipi umeshaiweza?

Mustapha maDish said...

Ipi ya cband ambayo unatumia internet or ya KU...!!???

Anonymous said...

Ambayo unaijua wewe??
Na je unawafungia watu mimi mmojawapo nataka hiyo ya bila malipo!

Young Sint said...

Naulizia internet kupia dstv unatakiwa uwe na vifaa gani, na weza kunielekeza, au kunifanyia installation mahome kwangu! pia bei gani.

Young Sint said...

Nilikuwa naulizia internet kupia dstv decorder, je natakiwa ninunue dstv ya aina gani na vifaa vp, je una weza kuja mahome kunionganishia kwa bei gani?