May 16, 2011

 Ni kawaida ya kuwa mtu ukifunga dish lazima nyumba iwe na hadhi fulani hivi ila kwa hapa tutaenda sawa tu ukiambiwa uishi upendavyo huku machannel ya kitu cha Dish yakipatikana kama hivyooo uonavyo....!!
 

8:52 AM   Posted by Mustapha Hanya with 2 comments

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Hahahahahahahaha...!!
wee jamaa hii ni kweli ama comedy zako??

Anonymous said...

kweli mkuu mtu anaishi apendavyo ila kweli kunaumeme humo,hapo anapata channels za wapi?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search