Ni jambo la kawaida mtu kulinda chake ili kidumu milele,hapa tunaweza kuona jambo ambalo watu wengi ambao wanamiliki madish wanapenda kulifanya kwa kuzuia mvua.....!!
Je wewe unalindaje dish lako...??
Habari mdau wa Digital tv kiujumla! Najua alau kipo nilichowasaidia kupitia hii blog na wakati mwengine pengine siwasaidii kwa wakati na...
7 Unasemaje..??:
Mbona kama vichekesho mkuu!!
Kwanini hali ya kuwa watu wanalinda vyao...!!
Kwani unaweza ukafunga chumbani na ukaona pichaa??
Kiukweli wadau Satellite dish imetengenezwa kuhimili hali zote mvua na jua...!!
Hivto ukiifunga ndani ama ukiifunika huwezi kuona chochote...!!
Zaidi ya yote ili uone kuna vya kufunikia vikaweza kupitisha signal.
Mf.makopo yale ya maji..!!
Kwa maana hata hiyo iliyo na mwamvuli haionyeshi kitu!!??
Hapo hakuna anachoona kutokana na lnb kuzibwa na mwamvuli na kusababisha kukata mawasiliano kati ya lnb na dish..!!
Dish yangu inamiezi 8 na toka kufunga sikuwahi kumuita fundi kuja,haijasumbua na wala sikuifunika kwa chochote ni vile vile ilivyofungwa.
Post a Comment