May 8, 2011

WEEK END KWETU HAINA TOFAUTI NA MONDAY..!!

Week end kwetu ni kama Monday vile maana mbio ndizo zilezile,7bu tupo kwa ajili ya kuwafurahisha wengine,huku yetu yakituendea vema...!!
Hapa ni katika J2 ya leo maeneo ya kulasini nishauza hapo na sasa naelekea sehemu moja wanapaita Tabata pale maeneo ya swiz pub...!!
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

1 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kaka pale swiz pub umeinstall wewe????
kama sitakosea ni rafiki yangu mmoja ndiye ambaye nilimpa shavu hilo,jina lake nimelisahau ila nakumbuka namba yake!