Jun 17, 2011

Ntawaletea idadi ya channel zote zinazopatikana kwenye ving'amuzi kutokana na maombi yenu ili muweze kuelewa na kufanya maamuzi yaliyo sahihi na leo hii naanza na EASY TV.
EASY TV ina jumla ya channels 32 ila zinazoonyesha ni 30 tu.
Movie 1
Movie 2
Movie3
Movie Arabic
Aljazeerah
CNN
BBC
CCTV4
UBC
Citizen
TBC 1
Star TV
Channel 10
Capital
EATV
TVZ
ITV
Clouds TV
EWTN/TV Tumaini
Mliman TV
Emmanuel TV
Peace TV
Channel V
Xing kong
Ph'x China
JSC document
JSC sport
MTV
Child
Ila kiukweli mfumo wa ving'amuzi wanaujua wenyewe maana channel wanazouza nyingi ni za FREE TO AIR hivyo satellite husika wakihama channel inapotea,hivyo mpaka baada muda ndipo wanairejesha na pengine isilejee tena..!!
Pia wanaweza kuongeza channel pale wanapoona channel ipo ipo tu na inafaa kutazamwa na watanzania wanaibandika..!!
Kwenye easy tv nimemalizia hapa next time ntahamia kwenye STAR TIMES na ntamalizia na TING ni hayo tu kwa leo n nawatakia week end njema wadau..!!

2:47 AM   Posted by Mustapha Hanya with 9 comments

9 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Umesema zipo 30 lakini hapo naona kama zipo 29 or sijahesabu kwa uzuri?

luhata nsumbi said...

hawa easy tv wazushi tu maana station zao wakati mwingine zinapatikana wakati mwingine hazipatikani

exburnny hilary said...

Iv eurodish inashka channel ngap!

Mustapha MaDish said...

Inategemea na Satellite husika!

Anonymous said...

Wamechemsha

Anonymous said...

Watanzania tunafanywa wajinga na hawa jamaa wa ving’amuzi.Chaneli nyingi zinazooneshwa na vingamuzi vyetu ni za bure,tunaibiwa tu

DATA PROCESSING EXPERTS said...

My remote control is not working how can I search auto without it. What will happen to my output if I choose to set factory settings: MARIKI DSM

Mukie Kimm said...

Naweza nikakipata wapi king'amuzi cha easy tv kwasasa nipo dar vinauzwa wapi kwasasa na packages zake bei bani?

Kulwa shabani said...

Hawa easy wana channels za soccer hususan kombe la dunia linakuja hili

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search