Jun 6, 2011

 Baada ya kusababisha Transit Motel ya ukonga kazi ikahamia Transi Motel ya air port na kazi ikawa ni moja tu kufanya TV zionyeshe kwa uzuri ili mteja aweze kidhi haja yake kwa kile anachotaka kukiona..!!

Nikaanza ingia chumba mpaka chumba na hiki ni chumba kimojawapo kati ya vyote vizuri vilivyopo..!!

 Mpaka hapa nikapita,wanapaita RECEPTION kwa niliowaacha ni mapokezi huwezi ingia mpaka upitia hapa


Hapo tayari kwa matumizi ya wageni kama si wenyeji ili maisha yaendelee huku ukiangalia TV ikiwa clear kabisa,ukipuliziwa na AC na pia ukitaka chakula ama kinywaji chochote unapiga tu simu unaletewa chumbani kama hautahitaji kutoka nje..!!
Nami nikachukua kila kilichochangu mwendo nikachapa..!!3:24 AM   Posted by Mustapha Hanya in with 4 comments

4 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Mi nipo na hotel yangu napenda kujua nataka funga dish napaswa kufunga ngapi??
Je unaweza kuja Arusha??

Anonymous said...

Mustapha bagamoyo mbali sana sogeza office dar!!

Mustapha maDish said...

WHEREVER U R WE R..!!@JUNE 8 2011 1:11 AM

Mustapha maDish said...

Uliye na hotel kuhusu ufunge dish ngapi hii inatokana na wewe mahitahi yako ya channels..!!
Ila ikiwa kama huna idea yeyote kuhusu hilo tutakupa ushauri kabla kwa zile channel wazipendazo watu wengi..!!
ama unaweza ukafanya reseach kwa mahotel mengine then tunaweza kukufanyia zaidi ya ambacho ulikiona huko..!!
K
Ukiwa tayari karibu kwa msaada zaidi..!!

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search