Jul 14, 2011

Pesa si mbaya ila matumizi ndio ambayo mabaya na hii ndio 1 kati ya matumizi mazuri ya pesa,japo yale mabaya hata wakati unafanya unaamini ni mazuri kwako..!!
Nilikuwa sehemu 1 wanapaita Magomeni Mapipa kuna yard mpya ya kuuza magari imefunguliwa inaitwa MAPIPA COMMISION AGENCY jamaa hawa wanauza gari aina zote mzigo unatoka moja kwa moja toka Japan na bei zao pia ni za kawaida sana..!!
Hapa bana nikawafungia dish mbili za KU (ndogo) lengo ni kuona DSTV na Channels za bure za MBC na lengo likatimia na mambo yakawa kama ambavyo pesa ilitumika kutaka mazuri ndivyo walivyoyapata..!!
Zamani banaa ndo ilikuwa mtaani ama nyumba ikifungwa dish wao wanaume lakini si sasa kwani bei ni za kawaida tu isipokuwa ilikuwa imani za watu tu,kama vipi tugongee nawe uzunguke dunia kama ambavyo wenzio wanavyozunguka wakiwa na TV zao majumbani..!
4:40 AM   Posted by Mustapha Hanya with 2 comments

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kaka nasikia kuna DSTV ya bure na wewe unafunga vp naweza kupata tuwasiliane email yangu ni:pprospel@live.com

Anonymous said...

Umemaliza tour ya morogoro??

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search