Oct 18, 2011

Dish thamani yake itabaki pale pale!!

Popote ulipo na popote utakapo unafunga.


Uzuri wa Satellite Dish Antenna ni popote ulipo ama utakapoamua kuweka makazi ukilifunga utakacho kuona utaona ikiwa clear bila chenga,Dish inakaa popote na Signal inaingia lakini lisikingwe ili kupata Satellite husika hii inamaana Dish huwezi kufunga chumbani!!
Kwa kuongeze ukifunga Dish huwezi muona mwanao wakati anaenda shule maana kuna maswali mengi tunakumbana nayo,huko mitaani watu wanadanganyana ya kuwa ukifunga Dish kama nyumba ya pili choo chao vile vya uswazi unaweza ukamuona!!

Jamani jamani sio kweli hiyo ni kazi ya CCTV Camera!!!
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kwenye group yako ya face book nimeona pale huyu Bachu ameweka kitu kizuri pale je nitafute nini na nini ili uje nami uniwekee??

Anonymous said...

Kweli kaka lakini mbona hii ya DSTV ikija mvua kubwa inapoteza picha ni kwanini??