Jan 3, 2012

Kwenye Dish ndogo kuna channels nyingi za bure,inategemea na wewe unahitaji channels za vipi!!
Lakini kwenye Dish ndogo hupati channels hata moja ya Tanzania.
Kwa maelezo zaidi usisite kuuliza!!
8:43 AM   Posted by Mustapha Hanya with 2 comments

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

MIMI NATAKA CHANNEL ZASIZO KULIPIA LAKINI NYUMBA NILIYOPANGA HAKUNA NAFASI YA KUWEKA DISH KUBWA JE KWENYE VILE VIDOGO NTAPATA LOCAL HATA MOJA??

Anonymous said...

Nataka za kenya zanapatikana ngapi na ni nini ambacho napaswa fanya ili nipate!??

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search