Mar 26, 2012

Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu na umuhimu wa hii kitu kwenu tumeshindwa kuimaliza kurekebisha hii blog on time hivyo chochote ambacho mtakiona kipo tofauti na hii blog ni katika jitihada za kuboresha na soon itakuwa vizuri zaidi katika muonekano mpya na bora zaidi.
Unaweza kushiriki nasi kwa chochote ambacho unadhani tunaweza kufanya pamoja kupitia hii blog na mengineyo pia kama unahitaji huduma  yeyote katika kipindi hiki waweza wasiliana na muhusika kama si wahusika kwa njia zifuatazo: Kwa no.+255 659161111
Kwa email:mustaphamadish@gmail.com
Popote ulipo tupo nawe.
Ahsante n Karibu sana.
9:28 AM   Posted by Mustapha Hanya with 7 comments

7 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Fanya hima tupate ambacho tunastahili!!

Anonymous said...

inaonekana ipo up2date sana!!
Hongera sana!!

Anonymous said...

inaoekana ipo up2date sana!!
Hongera sana!!

Anonymous said...

Nimejaribu kupiga simu yako inaita tu time hii,vipi nipo Sumbawanga unaweza nipatia services zako?

Anonymous said...

Kaka nashukuru umenifanyia kazi nzuri sana!!

Anonymous said...

Umeniafanyia good sana ngoja nikutengenezee mtandao!!!

Anonymous said...

Mbona hujibu Text zangu!!??

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search