Mar 17, 2012

Aliyebahatika kufufua Dish lake!!
Nimegudua kuna Dish nyingi katika nyumba nyingi ambazo hazifanyi kazi zimekaa tu kama uchafu ama urembo!!
yanini kukaa na kitu kisicho na manufaa!!??

1:15 AM   Posted by Mustapha Hanya with 3 comments

3 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Dish yangu imepoteza Channel zote za Dini zile,naona Local tu ambazo awali nazo zilikuwa zinaonyesha 3 tu lakini sasa zipo 6 je tatizo linaweza kuwa nini hapa?

Anonymous said...

Kuna issue ya kuhama toka analogue kwenda digital eti nimesika madish yatakuwa hayana kazi tena!!

Anonymous said...

Nataka kufanya Installations ya Lodge ila napiga namba zenu zinaita tuu vipi??

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search