Jul 29, 2012

Hakuna sababu ya kufunga Dish zaidi ya moja ya aina moja kwa nyumba moja kwasababu tu una TV zaidi ya moja na unahitaji channels zipatikane kwa TV zote!
Hii inatumika kama kwenye Hotel au Lodge lakini pia inaweza ikatumika hata maofisini ama hata nyumba binafsi!!
Ambacho unapaswa kufanya ni kujua channel gani unataka na je ni za bure ama za kulipia kisha unapata mchanganua kutokana na matakwa yako na utakapoafiki kazi inaanza ilihali unalolikusudia ndilo utakalo liona ontime!!
Huduma hii inawezaekana kwa channel aina zote za bure na kulipia!!
2:10 AM   Posted by Mustapha Hanya with 3 comments

3 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Hivi hakuna dstv ya magumashi!?

Anonymous said...

Vipi kwa huku zanzibar unaweza ukatoa huduma,tuna fundi dish mmoja anatulingia sana mpaka umlambe miguu sijui!
Lini unakuja huku nikuonganishe na wengine!

Anonymous said...

Kuna channel za bure za bei rahisi zaidi ni bei gani?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search