Aug 11, 2012

OFFER KWA WATEJA WANGU WOTE!!

Kwa wale wateja wapya na wa zamani nafasi yako hii!!
DISH MPYA YA LOCAL CHANNELS Tsh 280,000/=!!
Inajumuisha vifaa vyote pamoja na ufungaji!!
Unapata channel za Tanzania na nyenginezo za nje,ambapo inajumuisha zaidi ya Channels zaidi ya 50 bure!!
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

2 Unasemaje..??:

Mike said...

Vipi mkuu kwa channels za Arabuni kama vile MBC1,2,3,4,ACTION,DUBAI SPORT nk ,je kuzipata hizi unapaswa kuwa na RECEIVER ya uwezo gani?au aina gani? Kwani kuna tetesi kwamba zote hz ni HD.

Anonymous said...

mi nipo na office ila mpya n ina room kama 7 je unaweza kufunga flat screen na dish n ntakupataje naona no.hupatkani!!