Sep 26, 2012

DSTV bado inafanya vizuri na ukizingatia haina mipaka ndani ya Tanzania na ndo sababu ya kukufanya popote ulipo unaweza kufunga na ukaona kila ambacho unapaswa kuona kutokana na Package uliyoilipia!!
Kwa mantiki hiyo ikafanya watu watoke sehemu moja inaitwa IKWIRIRI na kutaka nikawafungie DSTV ili wacheck mipira na mengine ya kupendeza ila kubwa likiwa mipira,nami si nipo kwa ajili ya kufurahisha wengine huku mkono ukienda kinywani nikasababisha kama ambavyo unaona mwanaume hasifiwi sura!!

Hapa kazi tu!!
 Safari ilikuwa ni ya siku moja tu,nimetoka Dar mchana nikafika kule jioni nikapumzika kisha siku inayofuata asubuhi nikafanya kilichonipeleka nilipomaliza nikatembea tembea kidogo kuona IKWIRIRI ilivyo maana ndo mara ya kwanza kufika ila ambacho naweza kusema pazuri banaa nimepapenda kiasi kwamba hata kuweka kambi naweza kwasababu ni mjini na mji ndo unakua!!
Nnachofurahi kwangu safari moja huanzisha nyengine na ndo kilichotokea Mungu akipenda ntakuwepo tena next week,umuhimu wangu umeonekana hivyo nnahitajika kurudi!!
7:50 AM   Posted by Mustapha Hanya with 4 comments

4 Unasemaje..??:

Anonymous said...

lini unarudi tena huku hata mimi nakuhitaji isipokuwa naona kama gharama za kukutoa huko dar mpaka huku sitazimudu isipokuwa ntatumia mwanya huo huo utakapokuja hivyo naomba namba zako

Anonymous said...

Leo siku ya 3 nakutafuta kwa number yk ya mwisho 55 ila HUPATKANI!

Anonymous said...

Happy bday kaka!

Anonymous said...

Франкл говорит о том, что любой флирт игнорирует внутреннее содержание партнера. В нем люди избегают любви. Во флирте предпочитается тип. Очень часто предпочитается тип хористки (сегодня это блондинка на высоких каблуках с длинными накрашенными ногтями, большой грудью и пухлыми губами). Как и хористка в ревю, такая женщина в жизни легко может быть заменена другой. Это женщина, которую мужчина может «иметь»; поэтому у него нет необходимости ее любить. Она — собственность без индивидуальных черт характера, без личной ценности. Любить можно только личность; безликий тип хористки нельзя любить. С ней не встанет вопрос о верности: неверность допускается самой безликостью. Неверность в таких отношениях необходима. Там, где отсутствует счастье в любви, его пытаются компенсировать количеством сексуального удовольствия. [url=http://sundukideas.ru/sozdanie-sajta-ru/28-fenotip-sindroma-marfana]Uvarov Аrtem[/url]

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search