Jul 12, 2013

EMANUEL TV channels zaidi ya 50 BURE!!


Inatumia dish ndogo lugha ya kitaalamu inaitwa KU,unapata kuona channel zifuatazo ila nyingi zikiwa za gospel.Vifaa vinavyokamilisha set hii ni:-lnb KU,Receiver,Dish KU,Cable,F connectors.
Channel ZN
CNTV
ACNN
My tv promo
Celebration TV
Bethesda TV
CVV
Omega
ACBN
Chosen TV
HO TV
Champions TV
ITVN
Prophetic Channel
3ABN
Viewsat Promo
Sprit World
Blessing TV
Hosanna
Ahlulbayt TV
MFM TV 
New frontiers TV
RAK TV
Success TV
Charis TV
Mercy TV
ADBN
KICC TV 
ABN
Angel TV Africa
Olive TV
BETV
Spare slot
Muvi TV Africa un
Messiah
Oracle TV
Miracle TV
Madani chnl
Inspiration TV
Praise TV
JCC TV
Dunamis TV
God TV
Evangel TV
Spare_slot 4
Dove vision
El Shaddai
Channel 44
i Film
WRS
Love World
Starcross TV
Emanuel TV
Christian
KLN TV

Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Hii unatumia Receiver ya aina gani kaka!!??
Mimi natumia dish kubwa napata Emanuel ila hazipo 50 hii imekaaje!!??

Mustapha MaDish said...

Receiver yeyote!
Kwenye dish kubwa inategemea na lnb ngapi umefunga!!