Jul 20, 2013

EMANUEL TV IMENIPELEKA KUNDUCHI 170Jumapili tulivu hali ya hewa ikiwa haieleweki mara jua mara kiwingu na manyunyu yakichukua nafasi!
Panaitwa Kunduchi ila wenyeji wanapaita Kunduchi 170,hapa ilikuwa wanaona DSTV awali ila kutokana na maamuzi yao wakataka DSTV igeuke na kuwa Emanuel tv nami nikaona hakuna ubaya ila tu niliwaeleza ya kuwa ili waone Emanuel tv lazima wawe na Receiver isipokuwa dish zinaingiliana!
Uzuri Receiver walikuwa nayo hivyo haikuwa issue kazi ikaanza kipindi cha kufanya fanya setting kimefika tatizo likawa remote,receiver bana haikuwa na remote dah sasa itakuwaje!?
Ikanilazimu nimuagize mtu aniletee receiver ili nifanye setting zangu kipindi ambacho remote ya receiver husika ikitafutwa!
Baada ya muda mambo yakawa mambo imenuel tv ikaamia Kunduchi!!

Hapa ikiwa badi DSTV

 Hapa ndio bomoa bomoa!
Hapa Emanuel tv imepatikana!

Ndo hivyo tena!
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

3 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Vipi mikoani unaweza kuja kufanya kazi au wewe unahudumia watu wa dar tu?
Mathiac maswa!

Anonymous said...

mimi nna kila kitu kasoro kile kichwa cha kwenye dish tu,je kinapatkana bei gn ili niweze kupata hz za emanuel?

Mustapha MaDish said...

Natoa huduma popote Tanzania n hata nje ya Tanzania ikilazimika!!