Jul 15, 2013


 Je wajua unaweza kufunga idadi ya channel utakazo kwa idadi ya tv zako na kila tv ikajitegemea kubadili na kuangalia channel uipendayo pasi kuingiliana na tv nyengine!
 Hii x nyingi inafanyika maofisini,mahotelini ama kwenye Apartment ila hata popote upendapo unaweza ukafanya hivi!
 RECEIVER 6 KWA CHANNEL 6
 Kama unaswali lolote la kiufundi ama huduma ni wewe tu kuchukua simu yako na kubofya no hii:
+255 714 973 797
Popote Tanzania.
8:24 AM   Posted by Mustapha Hanya with 2 comments

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Je naweza kufunga DSTV decoder kama 5 hivi na kupata channel hizo 5 kwa tv hata 50 kama ulivyosema hapo!?

Mustapha MaDish said...

Yap inawezekana!!

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search