Jul 18, 2013

KAZI YANGU KUKUFURAHISHA WEWE!

 Kama kawa kama dawa ndo ambacho naweza kusema kwa wakati huu!
Hapa ni maeneo ya Urafiki njia panda pale ya kwenda mabibo!
Hapa Local ilikuwa inasumbua na DSTV pia,hivyo kilichotakiwa nikifanye ndo nikafanya na kuwaacha wenyeji  wakicheka cheka tu!
Nikachukua vyangu na kuchapa mwendo!
 
 HAPA SETTING ZIKIENDELEA
Mambo yanaendelea kama kawaida hapa ili tu kufanikisha mambo kukaa sawa!Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

0 Unasemaje..??: