Jul 30, 2013

Op.MWALIMU JK NYERERE P.SCHOOL

Maeneo ya Mbezi Beach maeneo maeneo hivi yaliyo tulivu sana kwa lugha nyepesi kwa kishua!!
Kuna shule ijulikanayo kama MWALIMU JK NYERERE,sasa mimi nilihitajika kwenye nyumba ambayo inatazamana na hii shule,hapa kilichotakiwa mimi nifanye ni kufunga DSTV EXTRA VIEW....!!
Kama kawa kama dawa nikapewa nafasi nami nikafanya yangu ila hapa ilinichukua siku mbili kutokana na baadhi ya vifaa kutokupatikana kwa siku moja!!
Kwa wale wasiojua DSTV EXTRA VIEW hii ni huduma inayokupa fulsa ya wewe mteja kuview channel mbili tofauti kwa wakati mmoja yaani uwe na tv mbili kila tv inajitegemea kwakuwa utapata decoder mbili ambapo kila decoder inajitegea isipokuwa Dish inakuwa moja na account moja pia!!
Kiufundi zaidi +255 659 161 111
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Naweza funga dish gani nikapata channel zote za bongo?

Mustapha MaDish said...

Hakuna Dish ambayo unaweza kufunga na ukapata channel zote za Bongo!
Isipokuwa unaweza kufunga c band na ukapata baadhi ya channel za Tanzania zilizo kwenye satellite!