Aug 8, 2013

ALJAZEERA SPORTS

Maswali yamekuwa mengi mkiniuliza mnawezaje kupata Decoder za Aljazeera sports ila jibu huwa nalitoa moja tu kama ilivyo kwa Abudhab Sport pale awali...!!
Hii kampuni haina wakala hapa bongo na kama yupo mi simfahamu maana kila ninyemfungia anakuwa anaagiza mwenyewe ama nafanya muunganiko then nawaacha wakubaliane jinsi ya kuagiza kutoka kwa waarabu!!
Hii pia mwendo ule ule jamaa katoka nayo mwenyewe mimi nilichofanya kutafuta dish inayofaa na kuleta ufundi wangu na mwisho wa siku yakawa yaliyokuwa!!

Hapa naangalia cha kuchukua ili nisababishe!

Hapa nafunga stend baada ya kudril!

Hapa nafunga Dish kwenye stend!

Hapa tayari imekaa still!

 Hapa tayari kwa kuanza kufanya setting!

 Hii ndio Decoder ya Aljazeera Sports

 Hapa vipi!!??
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

6 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kwangu sipati za MBC zote hii inakuwaje!!??

Anonymous said...

Nahitaji Decoder ntapata wapi mkuu!?

Anonymous said...

Tatizo langu sipati zile za HD kaka utanisaidiaje?

Anonymous said...

Mbona kile kichwa cha kupata aljazeera sport ghali sana!?

Anonymous said...

HD kwangu sizipati nifanyaje?

John felix Daudi said...

mustapha nipe namna ya kupata mawasiliano abhudhabi na jinsi ya kufunga maana nasikia hawanaga agent tz hii