Aug 16, 2013

+255789476655
Hapa ilikuwa hakuna kitu kinaitwa signal,na sababu kubwa inayofanya natembelea vijumba ama office za watu ikiwa Dish imeshafungwa signal kupotea mi fasta nakurejeshea!!!!
Hapa ni Mwenge,mitaa flani hivi imetuliaaa!!

 Kuonekana imooo!!

 Tayari kwa kuanza kazi

Unga unga ya Mustapha MaDish

 Signal zimeanza kuingia

 Single solution lnb

 Hapa Dish signal za kutosha

 Nikarejesha ndani kila kitu safii!!!
Ila hapa ilinichukua siku mbili coz siku ya kwanza kuangalia kazi na kama kuna cha kuhitajika then nilipokuja kama dish namjua aliyelitengeneza,maelezo niliyotoa ndicho mteja alichoona! 

8:03 AM   Posted by Mustapha Hanya with 2 comments

2 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Umefanya kitu kizuri kutengeneza hii blog wewe ni kati ya vijana wachache wanaotumia vema mtandao,hata mimi nimekupata kupitia blog yako.
Sam-changanyikeni Dar.

Daud John said...

Aminia kaka mkubwa pia mawasiliano yako ni muhimu sana kuyaweka hapa.

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search