Aug 22, 2013

 Hivi ndivyo masaa yanavyokatika tukiwa tunawajibika kama ilivyoada ili mkono uende kinywani!
Kutoka Kinyelezi ilipokuwa Dish ya DSTV na kutakiwa ihamishiwe Kariakoo ili maisha yaendelee kama kawa watu wakila burudani zao wakiwa na tv tuu!!
 
Hapa tayari kwa kufunga Dish!
 
 Imeshika kwa ukuta!
 
 Imetokeza kwa bati

Hapa setting zikiendelea

 Hapa kitu mwake!
Ila katika site ambazo kama si ubunifu wa fundi itakuchukua muda mrefu ama kutokupata signal kabisa hii ni mojawapo site pasua ila kwakuwa ndo hivyo tena Mustapha MaDish nikadish dish hapo kisha nikachukua vyangu nikachapa mwendo kama kawaida!
6:34 AM   Posted by Mustapha Hanya with 7 comments

7 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Awali nilikuwa napata shida sana,leo katika tafuta tafuta ndipo nimeona hii blog yako,nategemea kuingia kwenye ukanda huu isipokuwa sijajua hasa ninunue dish gn?
Siku si nyingi ntakutafuta kwa ushauri na huduma zako!

Anonymous said...

NAKUJA DAR NEXT WEEK NTAKUTAFUTA KAKA!

Anonymous said...

Leo ndipo nimeona hii blog yako,nimependa kwakuwa kuna kaelimu nimekapata ila mi ndo nataka kuingia katika ulimwengu wa madish isipokuwa sina nijuacho,hivyo ntahitaji ushauri kabla ya kufungiwa hilo Dish,nimesave no.zko karibu ntakutafuta kiongozi.

Anonymous said...

Huwa unaamisha kiac gani?

Anonymous said...

Dish kuifungua na kwenda kuifunga!?

Anonymous said...

Kaka sikupati hewani mbona!?
Nataka kujua nna receiver ya gulf je naweza nikapata channels gani nzuri,kwa dish ukubwa gani?

Anonymous said...

House. All kind of good and fresh music!
You don’t have to worry if you are a beginner! It’s
easy and faster, you will see!
Download Techno House Trance Dance Mp3 album Buy Private FTP 1990-2014 ftp://91.121.68.38/ House,
Progressive House, Electro House,
Tech House, Deep House, Soulful House, Nu-Disco, Techno,
Minimal, Djs Chart and EXCLUSIVE ALBUM & TRACKS Download 0days Music
Private FTP:
http://ww.0daymusic.org
http://ww.0dayvinyls.org
http://ww.0daymusic.eu
http://ww.filestube.eu
Exclusive / Promo / WAV Music invisible on the site available
for FTP Users only! House, Progressive, Electro House, Dutch House, Deep House,
Tech House, Minimal, Techno, Trance, Electronic, Dubstep, Jackin House, Indie Dance
/ Nu Disco, Soulful House. All kind of good and fresh music!


Feel free to surf to my homepage: www.0daymusic.org ww.0dayvinyls.org ww.0daymusic.eu ww.filestube.eu

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search