Comments

ZIJUE CHANNEL ZILIZO CONTINENTAL

Posted by at 6:04 AM Read our previous post
 Channel zinazopatikana katika Decoder ya Continental ni hizi hapa:
Decoder ya Continental
Star TV
Clouds TV

ITV
Channel 10
Capital TV
EA TV
Citizen TV
TBC
VOA
France 24
DW

Up coming Channels:

Kidsco,
BBC World News,
TLC (Travel & Living Channel),
Discovery ID,
Discovery Science,
Aljazeera,
African Movie Channel,
Hope TV,
Zing Music,
Zee Cinema,
CCTV4,
CCTV9,
CCTV News.

7 comments:

Anonymous said...

Cloud tv haipo jamani mbona tunapigana fix?

Anonymous said...

What is the price of the Decorder ( Continental) ?

Anonymous said...

Bad signal bad signal, continental is nothing nothing,

Anonymous said...

Mustapha!kuna shida gan mbona arusha hakuna signal karibia cku ya 3 kwangu. Pls reply, na ofis zenu zko wap hapa arusha,

Anonymous said...

Bado hujanishawishi!

Anonymous said...

Nilipoenda maeneo ya nane nane arusha na hela kununua continental decoder baada ya tangazo lao zuuri la kuvutia sikuamini kuona kile kinachotangazwa ni tofauti na uhalisia. Decorder ilipowashwa kwa majaribio ilinitia hasira mda niliopoteza kufuatilia. Menu yake ovyooo signal reception poor full scratches poor video and sound quality yaan full kichefuchefu. Labda nimpongeze Samadu hassan kwa kuliremba lile tangazo. Ni hayo tu wadau wangu

Anonymous said...

Mnahitaji kujipanga sana

© MUSTAPHA MADISH TECHNICIAN is powered by Blogger - Template designed by Stramaxon - Best SEO Template