Sep 1, 2013


Awali ilikuwa huwezi kupata Local channel mpaka ufunge dish ya c band yaani dish kubwa,lakini sasa mambo ni tofauti kwani unaweza kupata Local channel kwa kutumia kadish kadogo (KU) na lnb ya ku,isipokuwa Receiver ni lazima utumie ya MPEG4 tofauti na upatikanaji wa kwenye c band ambapo hata kwa MPEG2 unapata Local channel!
Channel za Tanzania zainazopatikana kwenye Dish ndogo:-
  1. TBC
  2. CAPITAL
  3. EATV
  4. ITV
  5. CHANNEL 10
  6. ATN
  7. STAR TV 
na nyenginezo za nje ikiwemo Emanuel tv kwa wale wapenzi wa Gospel!
+255789476655/714973797
7:08 AM   Posted by Mustapha Hanya with 11 comments

11 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Ntajuaje kama Receiver yangu ni MPEG 4 au MPEG2!!?

Anonymous said...

Hii kwa muelekeo gani kaka!?
Je huku Mwanza inapatikanika?
Vifaa vyake bei gani mpaka kuona?

Anonymous said...

unapata na zipi za nje na zinakuwa ngapi?

Anonymous said...

Haya kaka wakimbize!

Anonymous said...

Watu tumekaa mkao wa kula kusubiri Azam tv,nasikia watakuwa cheap sana je ni kweli kaka n unaweza kutupa more info!?

Anonymous said...

Vipi kuhusu Azam tv,nasikia wakuwa cheap sana,je wanaanza lini kama una info zozote tutupie kaka!
Heshima tele kwako mkongwe!

Anonymous said...

Kakavipi kuhusu ile Receiver ya kuona dstv bure ya uhakika kweli ama ndo magumashi siku mbili tu!!

Mustapha MaDish said...

Receiver ya Mpeg4 ama 2 zainajulikana kwa kuangalia kitabu cha maelezo ya Receiver uliyo/unayotaka kununua na hata bei pia MPEG4 inaanza laki na 20 ambapo MPEG2 inakuwa chini ya laki!

Mustapha MaDish said...

Kwa muelekeo wa Eutelsat 36A kwa lugha nyepesi upande wa DSTV!
Yap mwanza inapatikana!
Vifaa uwe na Receiver ya MPEG4 inategemea ni Kampuni gani!!??

Mustapha MaDish said...

Kuhusu Azam tv yap hawa jamaa wanakuja na insemekana watakuwa cheap so kwa maelezo zaidi nitawaletea wadau wangu!

Anonymous said...

ni kweli mpaka utumie decoder za ting ndipo unapata local zote kwenye dish ndosho?
msaada!

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search