Sep 29, 2013


Swali la wengi leo limepata jibu maana walikuwa wanauliza Clouds tv mbona haipo kwenye Dish,ukweli ni kwamba hili lilikuwa ni swala lililo ndani ya uwezo wa Clouds Media Group na sio mimi Mustapha Madish!!
wamefanya walichopaswa kufanya,ambapo kwangu imekuwa fulsa ndo hivi naitumia kuwaunganisha watu kuangalia clouds tv kupitia Dish,uzuri wake ni kwenye Dish ndogo pale pale zinapopatika zile za Local!!!
Hii inafanya idadi ya channel za Tanzania zinazopatikana kwenye Dish ndogo kuongezeka!!
Zaidi ya yote unapaswa utumie Receiver ya MPEG4 na si MPEG2!
7:19 AM   Posted by Mustapha Hanya with 6 comments

6 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Hapo watakuwa wapo kidigital hasa tenzetu!!!!!

Anonymous said...

Hivi hawa jamaa office zao zipo wapi?

Anonymous said...

Mustapha Madish please tell me about AZsky is it good n where i can buy it in Tanzania!?

Anonymous said...

Kaka vp kuhusu Azam tv nasikia itakuwa rahisi sana na channels za kumwaga!

Mustapha MaDish said...

Clouds Media Group wapo Mikocheni pale!

Anonymous said...

My brother suggested I would possibly like this website.

He used to be totally right. This publish truly made my day.
You cann't believe simply how a lot time I had spent for this info!

Thanks!

My web-site bookkeeping practice (bookkeepingprofessionals.co.za)

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search