Oct 18, 2013

AZSKY

Leo nimeonelea niongelee kwa uchache kuhusu hii Receiver kutokana na ukweli kwamba naulizwa sana kuhusu hii kitu,wengine wanataka kujua ni kifaa gani na kazi yake,wengine wanataka kujua zinapatikana wapi,wengine wanataka kujua uhalali wake na wengine wanataka kujua uhakika wa hizi Receiver na nyengine zinazofanana na hizi!!
More info nawaletea soon!!!
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

3 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Mbona unasema vitu nusu nusu mkuu fungukaaaa

Anonymous said...

Hii nasikia noma sana uhondo mtaalam

joao said...

Naomba kufahamu decoderya AZsky hapa Tanzania naweza kupata duka gani na kwa bei gani?
Kwa yoyote anayefahamu, naomba msaada