Oct 4, 2013

Kuna kitu watu wengi wanashindwa kuelewa ni kwanini Aljazeera na Abudhab malipo yao ni rahisi pengine tofauti na Dstv hivi!! Ukweli ni kwamba hawa jamaa wana channel chache sana na ni za sport tu isipokuwa Satellite ambayo wanatumia kuna channel nyingi za bure hivyo humpumbaza mteja na kuona wanachannel nyingi malipo yao kidogo!!
 Ambacho nataka kukwambia ukitumia Receiver ya kwaida na ukaelekeza Dish yako NILESAT unakamata channel kibao za bure!!
Nilesat ama kwa waliozoea ukiwaambia Aljazeera,unaweza ukakamata kwa kutumia Dish zifuatazo:-

KU ft 4

KU ft4 ikitimizwa!

C band ft6 tayari kwa kuweka KU lnb

C band ft6 imekamilika

 Pia unaweza ukapata kwa kutumia C band ft8!!!

8:00 AM   Posted by Mustapha Hanya with 15 comments

15 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Unatumia Receiver ya kawaida ama ni lazima kutumia ile uliyosema MPEG4 kwa hizi channel za bure!!??

Anonymous said...

Je na za Tanzania unapata hapo!??

Anonymous said...

Kwa mfano ukiweka vichwa viwili unapata channel za bure zaidi kwa hapo?

Anonymous said...

Hivi kuna uwezekano wa kupata Dstv bure?
Kuna fundi aliniambia kuna kifaa unanunua kisha ukiunga unapata kama bure maana ni 3000 kwa mwezi ni kweli!?

Anonymous said...

Kaka inakuwaje!?
Kwanza mi nikupongeze kwa kutuanzishia hii blog kwani nimenufaika na mengi sana!
Leo naomba kuuliza je hii Satellite ya Amos 5 unaipata kwenye dish size gani?

Anonymous said...

Ntakupataje fundi mkuu,nna shida na huduma zako!?

Anonymous said...

Dish gani ambayo nzuri kwa channel za bure!!?
Pia kuna kireceiver kinatumia line inafungua channel za kulipia kama za Dstv,je vipi hii umeipata na unafunga?

Anonymous said...

Angalau nami nimenufaika na huduma zako,ijapokuwa awali sikuwa na uhakika!
Emmy@Bagamoyo.

Mustapha MaDish said...

Receiver hata ya kawaida unapata!

Mustapha MaDish said...

Za Tanzania hupati hata moja hapo!

Mustapha MaDish said...

Yap kuna kifaa ukinunua unaweza ukapata channel za kulipia kwa kama free!! More info ntawaletea!

Mustapha MaDish said...

Mimi no.zangu ndo hizo ukinikosa hewani bahati mbaya ila wakati wote napatikana kwa no.hizo!
Karibu

Mustapha MaDish said...

Haya dada Emmy maana kiukweli wengi ambao naanza nao kwa mara ya kwanza wanajua mimi ndo wale wale wasanii wa mtandaoni!

Anonymous said...

kaka nadhani ww uko safi na dish! naomba kuuliza NOOLYWOOD NA ZNBC kwenye dish ya f6 free to air zimekuwa je siku hizi?
pia hyo aljazilah free station zinakuwa je?

Anonymous said...

kaka nadhani ww uko safi na dish! naomba kuuliza NOOLYWOOD NA ZNBC kwenye dish ya f6 free to air zimekuwa je siku hizi?
pia hyo aljazilah free station zinakuwa je?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search