Oct 20, 2013

+255789476655/659161111
Hapa ilitakiwa lifungwe Dish moja isipokuwa liende kwenye tv zipatazo nne,na kila mmoja awe anachange channel kupitia Remote yake kwa channel aipendayo bila kumghasi mwengine!
Kuna njia mbili:
1.Kuchagua Channel muhimu tu kama tunavyofanya kwenye Hotel.
2.Kufunga kila mmoja na Receiver/Decoder yake na burudani kama kawa.
Hapa walipendelea kila tv iwe na Decoder yake na walichohitaji ni Dstv tu,hivyo haikuwa issue mi nikafuata nilichopaswa kufanya,nikapiga a/c mbili extra view decoder nne na dish 1 ikawa pouwah!!

Dish na lnb ya njia nne

Flat screen na Extra view

Flat screen na Extra view
Hivyo nikafunga na Flat screen pamoja na Projector mambo yakawa kama nilivyotumwa!
Kazi safi,nzuri na ya kupendeza!
1:36 AM   Posted by Mustapha Hanya with 3 comments

3 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Hii nzuri sana nami nitakutafuta mtaalamu uje na kwa office yangu!

Anonymous said...

Kaka unajua sana unachokifanya hongera sana!!

Anonymous said...

Nawezaje kupata chanel nyingi kwa kutumia dish moja ila tv zipatazo 8 msaada mtaalamu!

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search