Oct 1, 2013

TRENET KWENYE DISH NAYO!!

Digital ndo habari ya sasa!
Sasa ile channel ya dini ya Trenet tv nayo kwenye Dish tena ikiwa bure!
Unaipata kutumia Dish ndogo,satellite husika Intelsat 17 nyuzi 66E,kama muelewa wa masuala ya madish tofauti nyuzi mbili na Emanuel tv kwenye dish ya KU!!!
Kwa mtazamo wangu wanaweza wakaja kuhama Satellite baadae maana hapa walipokaa wapo wenyewe tu kwa Tanzania hivyo wanaweza wakahamia zilipo nyengine ili kuwapa urahisi wapenzi wa channel hiyo ila kama wataendelea kuka hapo hapo inaweza ikawa mtihani kidogo kwa wadau!!
Ahsante kwa kutembelea blog yangu na nashukuru kwa kusoma Post hii,naimani kipo ulichojifunza.. Jisikie huru kuuliza maswali,kutoa maoni,kuomba ushauri ama kuomba msaada iwe kiufundi n.k Milango ipo wazi kwa yeyote ambaye angependa kushiriki nami/nasi ili kutimiza lengo la kuifanya Tanzania iwe nchi ambayo imehamia katika ulimwengu wa Digital tv huku wananchi wake wakiwa na uelewa wa kutosha na wanafurahia pia. KARIBU!!

Related Posts

5 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Kama wapo satellite yao tu,hawatapata wafuatiliaji wengi ama itawapa sana wakati mgumu wapenzi wa hiyo channel ama nae anajiandaa kuleta king'amuzi?

Anonymous said...

Je kuna na channel nyngne hapo ama unapata hyo tu kaka!?

Anonymous said...

Hii kwenye Dish ya fut 6 unaweza kuipata!?

Mustapha MaDish said...

Wanapatikana pia kwenye Eutelsat 36A zilipo Local kwenye Dish ndogo!

Mustapha MaDish said...

Yap unaipata kwa kutumia KU lnb!