Nov 29, 2013

Azam tv ni kampuni mpya katika ukanda huu wa Digital,tunaanza rasmi kuuza tarehe 6/12/2013.
Inajumuisha Dish ndogo,lnb,Cable mt20,Decoder na air time mwezi mmoja!
Kumefanyika mabadiliko kidogo ya bei awali ilikuwa 85000/= full installations,kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo imelazimika kubadilisha bei ambapo sasa inauzwa 135000/= ikiwa vifaa na ufundi.
Na unalipia malipo ya mwezi hakuna mabadiliko ni ile ile 12500/= kwa mwezi.

Decoder ya Azamtv

Dish ya Azam tv.
Kwa Mawasiliano zaidi tupo:
 Morogoro rd,Magomeni Mapipa
Office:+255789476655
Personal:+255659161111/714973797
Email:mustaphamadish@gmail.com.
TUNAUZA | TUNAFUNGA | DISH AINA ZOTE.
4:45 AM   Posted by Mustapha Hanya with 11 comments

11 Unasemaje..??:

Anonymous said...

Mi nataka hii ntakuja hapo Magomeni!

Mustapha MaDish said...

Karibu sana!

Anonymous said...

Azam Tv ina channel ngampi kiujumla? Na je Star Tv inapatikana?

Mustapha MaDish said...

Ina jumla channels 52 ila zitaendelea kuongezeka na star tv hakuna ila inatarajiwa kuwepo!

chim90 said...

Azam tv ina package ngapi kwa channel zake( au hiyo 12500 ni kwa channel zote?).
Thanks.

Mustapha MaDish said...

AZAM TV ina Package moja tu,ambayo ukilipa 12500 tu unapata channels zote!

Thobias Komba said...

Je, Emannuel tv inapatikana katika kung'amuzi cha Azam?

Thobias Komba said...

Emanuel TV inapatikana katika King'amuzi cha Azam?

Thobias Komba said...

Je, Emannuel tv inapatikana katika kung'amuzi cha Azam?

Mustapha MaDish said...

Hapana Emanuel tv haipo kwenye Azam tv

Anonymous said...

Nahitaji hii huduma yako ila tatizo mi nipo mlandizi nitaweza fanikiwa?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search