Nov 2, 2013

Kwanza ujue unachohitaji!
Channel gani na ngapi,je za kulipia ama za bure,vinginevyo iwe mchanganyiko za bure na kulipia!
Vyote ukishindwa utapata nafasi ya kupatiwa ushauri kwa zile channel pendwa na maelewano yatakapopita kazi ndipo inaanza kama furaha itawale kwako!
Ili uimara upatikane!
 Macho hayana pazia!
Matunda yangu akiwajibika!


 Hotel inapendeza na Flat Screen!
 ...........!!
Receivers

 Vimehusika!

 Vihusishi!

 Hotel tayari kwa kupokea wateja!
Installations hii inaweza kufanyika katika Lodge,Hotel na Guest House!
Kila tv inajitegemea katika kubadili channel bila kumbugudhi mwengine!
+255789476655/659161111

1:23 AM   Posted by Mustapha Hanya with 5 comments

5 Unasemaje..??:

Anonymous said...

ntakutafuta kaka office wapi?

Anonymous said...

Awali nilipata gharama kutoa mafundi Nairobi ili kuja Tanzania kunifungia Madish kwenye Hotel yangu,sikuwa najua kama Tanzania kuna wenye Experience ya kutosha kama wewe bwana mtaalamu,nipo nje ya Tanzania isipokuwa ntakaporudi tu huko ntakutafuta

Anonymous said...

Wewe ni solution langu ahsante kwa kazi nzuri!

Anonymous said...

Jamiiforum ndo nimepata link yako!
Nimekufuatilia naamini wewe ndo wa kutatua tatizo langu ntakucheck hivi karibuni ila hongera kwa kujua kuutumia mtandao!

Anonymous said...

installation kama hii inaweza fanyika nyumbani?

Call +255789476655

  • Text +255759091445

Follow

Search